Kessy has great passion of sharing knowledge, knowledge that can transform lives. A modern enterprising fanatic. A creative thinker eager to learn new things every day.

Fursa za laki ni nyingi sana kwa alieamua kutoka ndani na kuingia mtaani. Kabla hujaendelea naomba nikupe angalizo. Kama hujaamua kutoka ndani na kuingia mtaani ama kwa lugha nyengine kama hujaamua kufuta aibu kichwani mwako basi hii makala haikufai. Kwa kawaida kila penye watu wengi ambao huwepo kwa muda mrefu basi pana wateja wa aina 2.

Wa kipato kikubwa na kidogo. Maeneo mengi yenye watu wengi panakuwa na migahawa kadhaa. Mathalan kwenye mahospitali makubwa kama muhimbili, kwenye vituo vikubwa vya mabasi kama ubungo, kwenye viwanja vikubwa kama taifa, etc.

Humu kote kuna migahawa. Unachopaswa kufanya ni kuangalia je hisi sehemu zinapatikana milo ya kimaskini? Assume mtu ana nja na bajeti yake ni tu je unaweza kumuuzia chakila kwa bei hiyo? Wengi wa hawa wa bajeti za chini wanachoangalia zaidi ni chakula kisafi cha kushiba. Hawana mbwembwe ya mboga mbili tatu.

Hata kama ni wali maharage ni sawa tu ilimradi iwe katika bajeti yake. Makala hii itaendelea. Tutapitia fursa nyingi sana za mtaji wa laki moja. Usikose kuendelea kufuatilia ukurasa huu.

Kwanza niwashukuru kwa dua zenu. Pia shukrani za pekee ziende kwa ndugu Eliud Msofe ambae kwa sasa yeye ndio ameshika usukani wa miamia.

mahitaji biashara ya juice ya miwa

Hata hizi makala mimi ni mtoa idea yeye ndio muwasilishaji kwa maana ya kuziweka idea katika maandishi. Kabla ya kuendelea na zile fursa za biashara za laki moja nimeona nitoe angalizo kwa wale wenye mitaji mikubwa kiasi. Ukiwa na mtaji mkubwa kiasi haina maana kuwa ndio ujiingize ktk idea kubwa kubwa. Bali ingia kwenye idea ndogo ndogo na uzifanye kwa ukubwa.

Mfano ni mtindo anaoutumia Baressa kuzichukua idea ndogo na kuzifanya kwa ukubwa. Tumeona ice cream, tumeona juice, tumeona ukwaju, tumeona karanga, tumeona ubuyu, na kadhali na kadhalika.

Unaweza ukachukua idea hizi za laki ukazifanya kwa ukubwa zaidi kama anavyofanya Baressa. Tuchukulie umeamua kuifanya ile ya mayai. Utakachokifanya ni kuifanya kwa kiwango cha kisasa na kikubwa. Wale vijana kwako watakuwa mawakala. Mtaingia mikataba. Utawapa tisheti. Utawapa kiwango wanachotakiwa kuuza kwa siku. Utawapa mafunzo ya ujasiriamali na utawalipa commission.

Watauza kama wale wa Baressa wanavyouza ukwaju. Inatakiwa pia kujenga brand mitandaoni. Hakikisha unakuwa na posts nyingi sana zinazoongelea biashara hii. Usione hasara kuwa na camera man wako maalum kwa siku awe anapiga picha za kutosha na ku edit. Kila mara kaa na watu unaoamini kuwa wana ubunifu na wakupe maoni yao.To browse Academia. Skip to main content. Log In Sign Up.

Download Free PDF. Philipo F Mrutu. Download PDF. A short summary of this paper. Ni ukweli usio pingika kuwa edeni ni kuzuri. Shambani ndipo sehemu matunda mazuri yenye baridi yaliyo iva au matamu yanapo patikana bila kemikali. Pata picha ukienda kwenye shamba la mizabibu, miembe, michungwa, mapapai, mapeasi na matunda mengineyo ni kuwa unayakuta shamba lime limiwa vizuri hakuna vichaka, kumenyeshewa vizuri kwa kumwagilia au mvua kijani kibichi-sipati picha.

Kilimo kinatoa fursa ya mtu kujiajiri mwenyewe, kuajiriwa au kuajiri watu. Wapo wataalamu wanaoajiriwa kutokana na fani zao ili kutoa ushauri wa kitaalamu consultancykufundisha, utafiti au ajira kwa vibarua wa kawaida kufanya shughuli za uzalishaji shambani n.

Takwimu zinaonesha zaidi ya asilimia 65 ya watu wanapata ajira kwenye kilimo moja kwa moja au kupitia njia nyingine indirect. Hivyo kuna fursa kwasababu watu wanahitaji chakula kwaaajili ya kula, kuuza au kulisha wanyama kuku, nguruwe, njiwa na wengineo.

Pato la taifa hasa la ndani GDP. Pamoja na mambo mengine, kilimo hasa kilimo biashara kinasadia sana kukuza pato la ndani kwa kulipa kodi kwa serikali. Wakulima wanapo lima kwa ajili ya biashara wanalipa kodi, lakini wanapolima kwa ajili ya chakula au matumizi binafsi huwa maranyingi hawalipi kodi.

Hivyo watu wakilima kibiashara, wenyewe wanafaidika lakini na serikali inanufaika kupitia kodi. Kukua kwa biashara. Kilimo biashara ni shughuli ambayo inakuza biashara kwa ujumla wake.Biashara ya kutengeneza juisi ya miwa imekuwa maarufu sana katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania. Hii inatokana na kinywaji hicho kuwa na manufaa mengi katika mwili wa binadamu. Moja kati ya kazi kubwa za juisi ya muwa ni kusafisha mkojo, figo na kutibu homa ya manjano.

Vile vile, juisi ya miwa ni kiburudisho ambacho hukata kiu hasa wakati wa joto. Pia miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi. Miwa ina faida nyingi kiafya. Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Biashara ya juisi ya miwa ni moja kati ya biashara ndogo inayoweza kuanza na mtaji mdogo lakini ikakuletea faida kubwa kama mjasiriamali kulingana na uhitaji wake. Ili kuanza biashara hii mambo yafuatayo ni ya msingi kuzingatia:. Muwa mmoja unaweza ukatengeneza lita 4 za juisi na muwa mmoja unaweza ukaununua kwa Tsh.

Mjasiriamali anaweza akaongeza ubunifu kwa kuongeza tangawizi au limao katika juisi yake ya miwa ili kuongeza ladha. Biashara hii ni nzuri hasa inapofanyika sehemu yenye mzunguko wa watu wengi kama stendi ya mabasi, masoko, n. Kulingana na faida itokanayo na utengenezaji na uuzaji wa bidhaa hii, mjasiriamali anashauriwa kuanza kidogo kidogo huku akiwa na malengo ya kukuza biashara hiyo kufikia usindikaji.

Remember Me. Tuesday, March 23, Juisi ya Miwa: Biashara yenye faida maradufu by Patricia Richard. August 21, Share on Facebook Share on Twitter. Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

Ili kuanza biashara hii mambo yafuatayo ni ya msingi kuzingatia: 1 Mashine ya kukamua miwa — Tsh2 Glasi nzuri za ujazo tofauti — Tsh 20, 3 Chujio — Tsh 5, 4 Beseni — Tsh 8, 6 Ndoo 2 — Tsh 5, 7 Jaba kubwa la uchafu — Tsh 12, Tags: biashara miwa Mjasiriamali mtaji. Patricia Richard. Next Post. Discussion about this post.

Habari Mpya. Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa na umri wa miaka 61 March 18, Ukuta Mirerani wapaisha mapato Tanzanite March 12, Rais Mwinyi akaribisha wawekezaji wa Kenya March 11, Wanawake kupewa kipaumbele uwekezaji March 10, Benki ya Afrika yampongeza Magufuli uimara wa uchumi Tanzania March 9, Watanzania watakiwa kuwekeza March 3, Welcome Back!

Login to your account below. Forgotten Password? Create New Account!Maana ya kiwanda ni kwamba, bidhaa huzalishwa kwa kutumia mashine, kwa kiasi kikubwa na kwa gharama nafuu katika muda mchache zaidi kuliko kama vile ambavyo mikono ya binadamu ingeliweza kuzalisha.

Mapinduzi ya viwanda yalianza huko Ulaya hususani nchini Uingereza katika karne ya 18 na 19 na baadaye kusambaa karibu maeneo mengine yote ya dunia. Leo hii baada ya karne karibu 2 kupita Tanzania na sisi tunataka kufanya mapinduzi makubwa ya viwanda Tanzania.

mahitaji biashara ya juice ya miwa

Hii haimaanishi kwamba Tanzania hatuna viwanda ila unapotaja orodha ya viwanda na idadi ya viwanda vilivyokuwepo au aina za viwanda vyetu, ni chache mno kulinganisha na zile nchi zilizoendelea kama za Ulaya, China na Marekani kiasi kwamba unaweza ukafananisha na tone moja tu la maji katika bahari kubwa. SOMA: Biashara ndogo isiyojulikana na watu wengi bado.

Juisi ya Miwa: Biashara yenye faida maradufu

Ikiwa kama kweli Tanzania tunataka kuufikia uchumi wa viwanda, ni lazima tukubali kwamba hakuna njia ya mkato zaidi ya kuanza kidogokidogo. Hata Uingereza wenyewe na Uchina wakati wakianza hawakuanza na viwanda vikubwa sana bali viwanda vidogovidogo na mwishowe wakajikuta wakihitaji kujenga viwanda vikubwa vikubwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya vile viwanda vidogovidogo vilivyotangulia kuanzishwa.

Kwa mfano unapoanzisha kiwanda kidogo cha juisi ya matunda baadaye utahitaji kuwa na kiwanda kikubwa cha chuma kwa ajili ya kutengeneza spea na vinu kwa ajili viwanda hivyo vidogo. Hivyo unaweza kuona kwamba viwanda vidogo huzaa viwanda vikubwa.

Viwanda vya nguo halikadhalika na vile viwanda vya kubangulia korosho au pamba. Kiwanda huweza kufanya kazi ya kushangaza sana, ndiyo maana huko Uingereza na Marekani wakati huo wanamapinduzi hao wa viwanda walipata shida sana na hata wengine kuuwawa au kuteswa kutokana na mapinduzi hayo kuonekana yatapunguza au kuondoa kabisa ajira za watu. Hofu hiyo ilitawala lakini hatimaye ilikuja kuonekana haina maana yeyote sawasawa tu na ile hofu wakati wa Y2K miaka ya au mapinduzi ya kompyuta miaka ya 70 mpaka SOMA: Jinsi kiwanda kidogo kinavyoweza kukutoa kimaisha na kuwa tajiri wa kutupwa.

Matokeo ya maajabu hayo ya viwanda matokeo yake hujitokeza kwenye uchumi kwa kuleta pia mapinduzi makubwa ya kiuchumi. Mapinduzi hayo huweza kuifanya nchi au hata mtu mmoja mmoja kubadilika kiuchumi katika muda mchache ajabu kutoka hali duni sana ya kiuchumi kuelekea hali bora zaidi ya kiuchumi au kutoka kuwa masikini na kuwa tajiri. Kwa hiyo tunaweza tukasema kwamba viwanda huleta neema, viwanda huleta utajiri na kiwanda kina uwezo mkubwa wa kumfanya mtu aondokane na umasikini wa kutisha.

Unaweza ukachunguza mifano midogo tu mazingira yanayokuzunguka, hebu angalia watu wenye viwanda vidogo vidogo vifuatavyo, mashine ya kukamua juisi ya miwa, mashine ya kuchonga viazi vya chipsi, kiwanda cha chakula cha mifugo, mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, mkulima anayemiliki trekta au jembe la maksai, kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti, mashine ya kufyatua tofali za umeme, cherehani ya umeme, mashine ya kukorogea unga wa kuokea keki au mikate, mashine ya zege nk.

Mawazo ya Biashara Afrika Ambayo Hayajakumbatiwa

Bila shaka shughuli au viwanda vidogo nilivyovitaja hapo juu, huweza kufanyika kwa urahisi sana na bila shaka yeyote ile wale wanaozifanya au kumiliki mashine hizo, hali zao za kiuchumi haziwezi zikafanana na zile za wale wanaofanya shughuli hizo kienyeji kwa mikono bila ya kutumia mashine.

Ingawa dhana ya kiwanda ni pana zaidi ya mashine kwa maana ya kuhusisha michakato mingine mingi kama vile soko, ufungashaji packaging na suala la biashara kwa ujumla, lakini kikubwa hapo suala la kutumia nyenzo au mashine huwa na umuhimu mkubwa na wa kipkee zaidi. Hakuna ubishi wowote kwamba changamoto iliyo kubwa zaidi baada ya mjasiriamali kupata wazo la biashara yake ni jinsi ya kupata mtaji wa kutosha wa kuanzisha biashara hiyo.

Wajasiriamali wengi hupata wazo la kuanzisha viwanda vya juisi ya matunda na hilo hutokana na Mikoa mingi ya Tanzania hasa ile Mikoa ya Kaskazini kama Tanga na Morogoro na baadhi ya Mikoa ya kanda ya Kusini kama vile Iringa na Mbeya kuwa inazalisha matunda mengi sana na ya aina mbalimbali lakini matunda hayo wakati wa msimu hufurika sokoni na mwishowe kuozea mashambani bila faida yeyote ile kwa wakulima.

Karibu kila tunda linaweza kusindikwa na kisha kwenda kuuzwa hata baada ya msimu wake kuisha lakini tatizo mara nyingi huwa ni gharama za kununulia mshine kwa ajili ya usindikaji. Hata hivyo wakati mjasiriamali unasubiri uweze kupata mtaji kwa ajili ya kuanzishia kiwanda cha kutengeneza juice ya matunda, unaweza ukaanza kutengeneza na kuuza juisi hizo kwa kutumia mashine rahisi unazoweza kumudu gharama yake na ukakidhi mahitaji makubwa ya wateja ambao inabidi kwanza uchunguze na kubaini ni kitu gani wanachopendelea zaidi kwenye juisi za matunda.

Anza hata na blenda na friji yako ya nyumbani. SOMA: Biashara ya chakula usipokuwa msafi utaiona chungu. Aina za juice za matunda zinazopendwa sana na watu ni kama vile juisi ya ukwaju, juisi ya ubuyu, juisi ya passion, juisi ya miwa, juisi ya karoti, juisi ya parachichi, juisi ya limao, juisi ya papai, juice ya tende, juisi ya ndizi, juice ya embe, juisi ya chungwa, juisi ya zabibu, juisi ya tikitimaji, juice ya nanasi, mchanganyiko wa juice ya parachichi na passion, parachichi na embe, mchanganyiko a juisi ya embe na chungwa nk.

Kiwanda hata kiwe kidogo kiasi gani, ni lazima uhakikishe ile misingi mikuu ya biashara inazingatiwa ili kupata matokeo yaliyokuwa bora kabisa.

Vitu hivi na vinginevyo kama kutafuta soko, uwekaji wa kumbukumbu nk. Mbali na sababu mahsusi utakayobaini mwenyewe katika utafiti wako wa soko utakaoufanya kwa mujibu wa kitabi hicho, lakini kuna hii sababu ambayo ipo kotekote ni universal kwa mtu yeyote yule anayefanya biashara ya kutengeneza na kuuza juisi ya matunda, awe ni mtengenezaji mdogo mdogo anayetembeza na jagi barabarani au mwenye kiwanda kikubwa kama Bakhresa na Dewji. Nayasema hayo kwa sababu katika utafiti wangu mitaani nimewahi kuona jinsi wauzaji wengi wa juisi hizi za kutembeza na majagi, madeli au ndoo wanavyokosa wateja bila ya wao wenyewe kujua sababu hasa ni nini.

Na mjasiriamali akishaona leo amemwaga juisi, kesho tena hivyo hivyo, hukata tamaa na kuona biashara ya kuuza juisi ni biashara kichaa isiyokuwa na faida, huiacha na kwenda kujaribu biashara nyingine. Juisi hata iwe tamu kiasi gani lakini usafi na usalama wake unapokuwa wa mashaka mteja huwezi kumshawishi anunue kwako kamwe. SOMA: Wateja wanahitaji sababu ya kununua kutoka kwako.

Hebu jiulize ni mara ngapi wewe mwenyewe umekutana na juisi za kupima huko mitaani, ukapuuzia kununua kwa sababu tu, wanapima kwa kikombe ambacho husuuzwa kwa maji ya kawaida pindi mteja mmoja anapomaliza kukitumia na kuwekewa mteja mwingine?. Wakati mwingine unaweza ukaona juisi nzuri sana inayovutia machoni lakini unashindwa kununua kwa sababu tu juisi hiyo imetiwa katika chupa au kopo la maji ambalo muuzaji aliliokota baada ya mtumiaji kumaliza kunywa maji na kulitupa, je usalama wake ni wa kuridhisha?SIKU moja alipokuwa akiendesha gari katika barabara kuu ya Thika, Daktari Kennedy Ongaro alilisimamisha gari lake katika kituo cha kuuzia mafuta ili kuongeza mafuta kwa gari lake.

Karibu na kituo hicho cha kuuzia mafuta, palikuwapo na wanawake waliokuwa wakiuza miwa. Pasi na kusita, aliwaomba wampe vipande vya miwa vya kupanda. Walimkabidhi na alivileta vipande hivyo saba, na kuvipanda katika bustani yake iliyoko nje ya nyumba yake, mtaani Ngara, Nairobi. Dkt Ongaro, mwenye umri wa miaka 51, ambaye pia ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Daystar, anasema kwamba alikabidhiwa vipande hivyo vya miwa mnamo mwaka na mazao yamekuwa yakimridhisha mno.

Mimea yake iliongezekaongezeka, na akashurutika kuvitengeneza vipande vya shamba nje ya nyumba yake ili kuikuza mimea mingine mingi. Mkulima huyo anadokeza kwamba miwa haihitaji mtaji mwingi kuikuza. Anaongeza kuwa alizitumia Sh3, pesa taslimu, kuliandaa shamba. Anasema aina ya miwa ambayo anaikuza huyazalisha mazao mengi sana.

Aidha, anaongeza kuwa miwa hiyo huwa ni mirefu na minene. Pia, Ongaro anasema kwamba miwa hiyo hukua hadi futi 21 kwa urefu. Fauka ya hayo, muwa mmoja ukipandwa, unaweza kuzaa miwa 21 unapokomaa. Hali kadhalika, aina iyo hiyo huwa na maji mengi yenye sukari. Kwa mujibu wa mkulima huyo, aina hiyo ya miwa hukua upesi mno, na hukomaa kabla ya kipindi cha mwaka mmoja. Mkulima huyo hutegemea mvua ili kuikuza miwa hiyo.

Anadokeza kwamba yeye huipanda miwa siku chache kabla mvua haijaanza kunyesha, hususan anapoona dalili za mvua. Kwa zaidi ya miaka mitano ambapo amekuwa akiendesha shughuli hiyo ya ukuzaji wa miwa, Ongaro anasema kuwa mimea yake haijawahi kuathiriwa na maradhi wala kuvamiwa na wadudu waharibifu. Yeye huikuza mimea hiyo pasi na kuzitumia mbolea ya madukani.

mahitaji biashara ya juice ya miwa

Pia, anafichua kuwa hazitumii kemikali zozote, maadamu kemikali zitawaathiri wateja wake. Hata hivyo, mkulima huyo huwa haiuzi miwa anayoizalisha, bali huitumia kuitengeneza sharubati. Alizinunua mashine tatu za kutengeneza sharubati ya miwa, kutoka nchini Vietnam kwa kima cha Sh1.

Hata hivyo, alizinunua mashine zizo hizo akiwa na madhumuni ya kuitumia moja kutengeneza sharubati, nyingine kuwafunza wakulima katika kaunti ya Kisii, na ya tatu kuwafunza watu katika mtaa wa Ngara, anakoishi na kuikuza miwa. Ongaro ana duka la kuitengeneza sharubati ya miwa katika eneo la Kamakis, karibu na Ruiru na mkewe ndiye anayeisimamia biashara hiyo. Kwa mujibu wa mkulima huyo, muwa mmoja hutumiwa kutengeneza lita moja au mbili za sharubati, japo hutegemea unene na urefu wa mua.

Kabla ya kuitengeneza sharubati, miwa huvunwa kutoka shambani. Baada ya kuivuna, hukatwakatwa kuwa vipande, kisha maganda hutolewa kwa kutumia kifaa fulani. Baada ya kuyaondoa maganda hayo, miwa huoshwa na kuwekwa kwenye mashine ili kuminywa pamoja na matunda ya malimau, mmea aina ya mshubiri pamoja na tangawizi ili sharubati hiyo iwe na ladha aula na kuongezea virutubisho muhimu.

Malimau na tangawizi. Mkulima huyo anasema kwamba yeye huyanunua malimau na tangawizi kutoka kwa soko la Wakulima au Marikiti, jijini Nairobi. Anaongeza kuwa yupo mtu ambaye ameweka mkataba naye ili awe akimletea mmea wa mshubiri. Wao hutengeneza sharubati lita 25 kwa siku nzuri, na lita moja ya juisi hiyo huuzwa kwa bei ya Sh, katika eneo la Kamakis.

Hata hivyo, huiuza juisi hiyo lita moja kwa Sh nyumbani. Juisi glasi moja kubwa huuzwa kwa Sh Sharubati anayoitengeneza huwa haiongezewi maji hata chembe. Anadokeza kwamba biashara hiyo imenoga mno kwake, na hajawahi kujuta asilani, kujitosa katika shughuli hiyo.

Dkt Ongaro anafichua kuwa kuna shamba ekari 40, alilolinunua miaka mitano iliyopita, katika kaunti ya Kajiado, na ananuia kulitumia kuwa kituo cha kutolea mafunzo kuhusu ukuzaji wa miwa na mizabibu. Pindi tu kituo hicho kitakapokamilika kujengwa, wakulima, hususan vijana, watapata fursa ya kupokea mafunzo ya bwerere, kuhusu jinsi ya kuikuza miwa na mizabibu, na jinsi ya kuiboresha thamani ya mazao yatokanayo na mimea hiyo.

Anaongeza kusema kuwa anaendelea kufanya mazungumzo na kampuni inayozitengeneza mashine za kutengeneza sharubati ya miwa, iliyoko nchini Vietnam, ili awe akizinunua mashine hizo kutoka kule, na kuwauzia vijana. Toggle navigation. Feb 21, Ukisikia biashara ya mtaji mdogo yenye faida kubwa basi biashara ya kuuza chipsi ni moja ya biashara hizo.

Hivi ulikuwa unajuabiashara ya chipsi kuku, soda inavyolipa dar? Basi kama ulikuwa hulijui hilo fuatana na mimi leo katika Makala hii ili uweze kulijua, unakula sahani ya chipsi kavu au chipsi mayai huku ukishushia na soda baridi, je wajua sahani hiyo moja ya chipsi mpaka inaingia mezani imegharimu kiasi gani cha fedha?.

Na je unajua mtaji wako wa chipsi utarudi baada ya muda gani kupita? Unajua ili uweze kurudisha ghara zote za siku ulizotumia unatakiwa uuze angalao sahani ngapi za chipsi kwa siku Break eve point?. Vipi kuhusiana na vifaa vya kupikia chipsi, unajua bei ya jiko la kukaangia chipsi ni shilingi ngapi, jiko la kupikia chipsi na mayai, bei ya kabati la chipsi, makarai, jiko la kuchomea mishikaki, frying pan, sahani nk.?

SOMA: Mchanganuo wa biashara ya car wash, kuosha magari mtaji na vifaa vinavyohitajika. Je unajua ni gharama zipi za uendeshaji wa biashara ya chipsi unazotakiwa kuzilipa?

mahitaji biashara ya juice ya miwa

Bei ya trei la mayai, bei ya viungo mbalimbali utakavyotumia kutengenezea saladi kachumbari au chachandu kwa ajili ya kuongeza hamu na ladha kwenye chipsi zako wateja wavutiwe zaidi kwako nk. Baada ya kufahamu vitu vyote hivyo sasa utatakiwa kujua unaweza ukapata faida kiasi gani katika mradi wako huu wa kukaanga chipsi au Vihepe kama watoto wa mjini wanavyoita hasa wanafuzi wa mashule na vyuo ambao ni wateja wakubwa sana wa chipsi katika miji mikubwa kama Dar es salaam na kwingineko.

SOMA: Biashara ya mgahawa wa chakula, mchanganuo na mtaji mdogo wa kuanzia. Faida utakayoipata itategemea sana ENEO lako la biashara likoje, ikiwa ni eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu mfano stendi ya mabasi, katika eneo la starehe na burudani kama bar au club, karibu na shule au karibu na chuo, basi mauzo na faida yako itakuwa kubwa sana na nzuri. Lakini ikiwa ni eneo tu la kawaida mtaani faida inaweza kuwa ya kawaida wastani. Ili kunogesha biashara yako ya chipsi unatakiwa kama unao uwezo basi uweke na bidhaa nyingine mfano juisi, soda au vinywaji vingine vya kushushia, kuwa na biashara ya juice pembeni au hata biashara ya kuuza soda na maji sambamba na biashara yako ya chipsi itakuongezea faida zaidi.

Biashara ya chipsi vilevile inataka uwe na bidhaa ambatani kama vile mishikaki, kuku wa kukaanga au wa kuchoma, firigisi, samaki, soseji na ndizi. Bidhaa hizi ambatani zitaifanya faida yako kuongezeka zaidi. SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata kama umelala. Kwa kifupi kabisa hivyo ndivyo utafiti wa biashara au upembuzi yakinifu unavyoweza kufanyika wala huhitaji kuwa na digrii ya uchumi ndipo ufanye utafiti wa biashara yako.

Hatua ya pili unatakiwa uandae mpango wa biashara yako, hii ukiweza kuandika katika karatasi ni vizuri zaidi lakini pia watu wengi huifanya tu vichwani mwao na kuanza ndio maana utakuta watu wengi hawana kitu kinachoitwa mpango wa biashara ulioandikwa, siyo hawafanyi kabisa mpango wa biashara hapana, bali hufanyia vichwani na kutekeleza moja kwa moja kuokoa muda. SOMA: Sababu kuu tano 5 kwanini uandike mpango wa biashara yako kwanza kabla hujaianzisha biashara yenyewe.

Kinachosababisha watu wengi kutokuandika mipango ya biashara zao kwenye karatasi mara nyingi ni udogo wa biashara zenyewe, utakuta mtu anataka kufanya biashara ya mtaji wa laki moja sasa anaona yanini kusumbuka na tafiti na michanganuo, ila ukweli ni kwamba vitu hivyo huwa anavifanya kimya kimya kichwani mwake bila hata ya yeye mwenyewe kujua kama amevifanya.Sisi ni fahari kwa kutoa huduma meli ya kimataifa kuwa kwa sasa kazi katika zaidi ya nchi na visiwa duniani kote.

Hakuna kitu ina maana zaidi kwetu kuliko kuleta wateja wetu thamani kubwa na huduma. Tutaendelea kukua ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu wote, kutoa huduma zaidi ya matarajio zote mahali popote duniani.

Packages kutoka ghala yetu huko Hongkong itatumwa na ePacket au EMS kulingana na uzito na ukubwa wa bidhaa. Tunatoa usafirishaji wa bure kwenye nchi za duniani kote. Hata hivyo, kuna maeneo mengine ambayo hatuwezi kusafirisha. Ikiwa hutokea kuwa iko katika moja ya nchi hizo tutawasiliana na wewe.

Sisi si kuwajibika kwa ada yoyote desturi mara moja vitu kusafirishwa. By ununuzi wa bidhaa zetu, wewe kukubaliana kwamba fedha moja au zaidi inaweza kusafirishwa ikiwa na wewe na wanaweza kupata ada desturi wakati wao kufika na nchi yako. Ndiyo, utakuwa kupokea barua pepe mara moja ili meli yako ambayo ina kufuatilia taarifa yako. Kama wewe hawajapata kufuatilia info ndani ya siku 5, tafadhali wasiliana nasi. Kwa baadhi ya makampuni ya meli, inachukua 2 5-biashara siku kwa habari kufuatilia kwa update juu ya mfumo.

Kama ili yako iliwekwa zaidi ya siku 5 biashara iliyopita na bado hakuna taarifa juu ya idadi kufuatilia yako, tafadhali wasiliana nasi. Kwa sababu za upangaji na uchukuzi, vitu katika ununuzi huo wakati mwingine watapelekwa katika paket tofauti, hata kama umefanya maalum meli pamoja. Amri zote zinaweza kughairiwa hadi zitakaposafirishwa. Ikiwa agizo lako limelipwa na unahitaji kufanya mabadiliko au kughairi agizo, lazima uwasiliane nasi ndani ya masaa Mara baada ya mchakato wa ufungaji na usafirishaji kuanza, haiwezi kughairiwa tena.

Kwa hiyo, kama Ningependa refund unaweza kuomba moja bila kujali sababu.

KILIMO BIASHARA NA UJASIRIAMALI.docx

Kama alifanya Kumbuka Pata bidhaa ndani ya muda uliohakikishiwa siku 45 zisizojumuisha usindikaji wa siku unaweza kuomba marejesho au ufuatiliaji. Kama wewe kupokea bidhaa vibaya unaweza kuomba refund au reshipment. Ikiwa hutaki bidhaa uliyopata unaweza kuomba marejesho ya malipo lakini lazima uirudie kipengee kwa gharama yako na kipengee haipaswi kutumiwa.

Unaweza kufanya hivyo kwa kutuma ujumbe Wasiliana nasi ukurasa. Kama wewe ni kupitishwa kwa ajili ya marejesho ya kodi, basi refund yako itakuwa kusindika, na mikopo moja kwa moja kuwa kutumika kwa kadi yako au njia ya awali ya malipo, ndani ya siku Kama kwa sababu yoyote ungependa kubadilishana bidhaa yako, labda kwa kawaida tofauti katika mavazi.

Lazima wasiliana nasi kwanza na sisi kuongoza wewe kupitia hatua. Utoaji wa Kimataifa wa Uhuru wa Kimataifa. Jamii Makundi yote. Nyumbani Bidhaa Kufuatilia. Rudi kwenye kikundi.